Kipchoge, Kosgei watawala London Marathon

Mkenya Eliud Kipchoge ameshinda London Marathon kwa mara ya nne mfululizo huku Muingereza Mo Farah aliyetarajiwa kutoa ushindani mkali akimaliza katika nafasi ya tano. Kipchoge, 34, ambaye alivunja rekodi ya dunia ya mbio za marathonn mjini Berlin mwaka jana, alikamilisha mbio za leo kwa muda wa saa mbili dakika mbili na sekunde thalathini na nane

Continue Reading →

Mo Farah aangazia mafanikio ya London Marathon

Mwanariadha nguli wa Uingereza Mo Farah amesema kushinda mbio za mwaka huu za London Marathon kutakuwa ni mafanikio sawa na mataji ya Olimpiki na sita ya dunia aliyoshinda. Farah mwenye umri wa miaka 36 mzaliwa wa Somalia – ambaye aliangazia mbio za marathon baada ya kunyakua fedha katika fainali ya mita  5,000 jijini London 2017

Continue Reading →

Bingwa wa Olimpiki Kiprop afungiwa miaka minne

Aliyekuwa bingwa wa Olimpiki wa mbio za mita 1,500 Asbel Kiprop amepiwa marufuku ya miaka minne kwa kosa la kutumia dawa za kuongeza misuli nguvu. Mkenya huyo, bingwa wa dunia mara tatu, aliundulika kutumia dawa zilizopigwa marufuku michezoni aina ya EPO baada ya kufanyiwa vipimo Novemba 2017. Mwanariadha huyo mwenye umri wa miaka 29, anasisitiza

Continue Reading →

Mwanariadha Kiprop aelekea London kujua hatima yake

Bingwa wa michezo ya Olimpiki ya Beijing 2008 na bingwa mara tatu wa mbio za mita1,500 Mkenya Asbel Kiprop anatumai kuwa hatimaye jinamizi linalomuandama litawekewa kikomo wakati Kitengo cha Uadilifu katika Riadha – AIU kitakapofanya uamuzi wa mwisho kwenye kesi ambayo iliushangaza mchezo huo. Akizungumza kabla ya kuondoka Nairobi Jumatano kwenda London ambako uamuzi huo

Continue Reading →