Bayern watoka sare na kuwapa Dortmund matumaini

Vinara wa Bundesliga Bayern Munich wametoka sare ya 1 – 1 nyumbani kwa Nurnberg na kuwapa Borussia Dortmund matumaini katika mbio za ubingwa, lakini mambo yangekuwa mabaya hata zaidi kama wenyeji wangefunga penalti waliyopoteza katika dakika ya mwisho. Vijana hao wa kocha Nico Kovac ilijikuta nyuma katika derby hiyo ya Bavaria kupitia bao la Matheus

Continue Reading →

Dortmund yaweka hai matumaini ya kubeba ubingwa

Borussia Dortmund wameendeleza vita vya ubingwa wa ligi kwa kupata ushindi wa 4 – 0 dhidi ya Freiburg na kuwakaribia vinara Bayern Munich na pengo la pointi moja. Nahodha Marco Reus alilazimika kucheza na maumivu ili kuipa motisha timu yake na kuisaidia kwa kufunga bao moja na kutoa assist mbili. Aliogongwa goti baada ya kukabiliana

Continue Reading →

Bayern yaweka pengo la pointi nne kileleni

Bayern Munich wamejiweka sawa kileleni mwa Bundesliga baada ya bao la Niklas Süle katika dakika ya 75 kuwapa ushindi wa 1 – 0 dhidi ya wasumbufu Werder Bremen waliomaliza mechi na wachezaji kumi uwanjani. Kipa wa Bremen Jiri Pavlenka alizuia kombora la Serge Gnabry na Robert Lewandoswki akapiga shute nje ya lango kabla ya shuti

Continue Reading →

Coman airejesha Bayern kileleni mwa ligi

Kingsley Coman alifunga mabao mawili wakati Bayern Munich iliizaba Fortuna Dusseldorf 4 – 1 na kukamata tena usukani wa Bundesliga. Bayern, mabingwa wa Ujerumani kwa misimu sita iliyopita, wako mbele ya Borussia Dortmund na pengo la pointi moja huku kukiwa kumesalia mechi tano msimu kumalizika. Coman alifungua ukurasa wa mabao kwa kufunga bao la kwanza

Continue Reading →

Alcacer airejesha Dortmund kileleni, Bayern yajikwaa

Paco Alcacer alifunga mabao mawili katika dakika tano za mwisho wakati Borussia Dortmund ikiizaba Wolfsburg 2-0 na kukamata tena usukani wa ligi mbele ya Bayern Munich. Huku ikisalia mechi saba, ni pointi mbili zinazotenganisha timu hizo ambazo zitavaana wiki ijayo uwanjani Allianz Arena. Alcacer alifunga bao la freekick katika dakika ya 90, kabla ya kusukuma

Continue Reading →

Bayern yavunja rekodi kwa kumsaini Hernandez

Bayern Munich wamesaini beki wa Atletico Madrid Lucas Hernandez kwa mkataba wa miaka mitano kwa kima cha euro milioni 80, ambayo ni rekodi ya usajili kwa klabu hiyo. Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 23, ambaye alishinda Kombe la Dunia 2018 na Ufaransa, atajiunga na vinara hao wa Bundesliga mnamo Julai mosi. Wakati akifanyiwa vipimo

Continue Reading →