Samatta atupia Ulaya, kinara wa magoli Ubelgiji

Mbwana Ally Samatta mshambuliaji wa Genk ya Ubeligiji kutoka Tanzania ameendelea kuwa mwiba mkali katika ligi ya Ubeligiji, Jupiler Pro baada ya kufunga goli 1 kati ya 4 ambayo klabu yake ya Genk ilishinda dhidi ya Royal Antwerp katika mchezo wa “Play Off” Goli alilofunga jana linamfanya kufikisha goli 23 ambapo mchezaji anayemfuatia ana goli

Continue Reading →

Ajax kupumzika kabla ya kukutana na Tottenham

Wakuu wa kandanda la Uholanzi wamefuta mechi zote za ligi kuu ya nchini humo – Eredivise kabla ya Ajax kuumana na Tottenham katika nusu fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya. Ajax walitarajiwa kucheza dhidi ya De Graafschap Jumapili Aprili 28, kisha wasafiri kupambana na Spurs katika mkondo wa kwanza Jumanne Aprili 30. Shirikisho la kandanda

Continue Reading →

Wachezaji wa kandanda wasusia mitandao ya kijamii

Wachezaji nyota wa kandanda wamesusia kutumia mitandao ya kijamii kwa kipindi cha saa 24 kuanzia leo asubuhi, katika jaribio la kupambana na matukio ya kibaguzi kwenye intaneti na pia uwanjani. Wachezaji weusi wanaocheza Ulaya na kwingineko hukumbwa na kauli za kibaguzi kwenye intaneti na kutolewa maneno na ishara za kibaguzi dhidi yao uwanjani. Chama cha

Continue Reading →

Bayern yafungua shule ya kandanda Addis Ababa, Ethiopia

Bayern Munich wamezindua shule yao ya kwanza ya kandanda barani Afrika, huku kituo hicho kipya kikiwa katika mji mkuu wa Ethiopia Addis Ababa. Mabingwa hao watetezi wa Bundesliga wametangaza kuwa walisaini makubaliano na Shirikisho la Kandanda la Ethiopia – EFF, kwa kuzindua ushirikiano ambao utahusisha mabadilishano ya ujuzi wa ukufunzi na kukuza vipaji vya wachezaji

Continue Reading →

Mkuu wa kandanda la Ujerumani Grindel abwaga manyanga

Rais wa Shirikisho la Kandanda la Ujerumani – DFB Reinhard Grindel amejiuzulu baada ya kukiri kuwa alipokea saa ya thamani ya euro 6,000 kama zawadi kutoka kwa aliyekuwa kiongozi wa shirikisho la kandanda la Ukraine. Hatua hiyo ya kujiuzulu pia inafuatia ripoti za vyomvo vya habari nchini Ujerumani kuhusu malipo aliyopokea kutoka kwa chama mshirika

Continue Reading →

Higuain astaafu kandanda la kimataifa

Mshambuliaji wa Chelsea Gonzalo Higuain ametangaza kustaafu kandanda la kimataifa, akitaja sababu za kifamilia. Higuain mwenye umri wa miaka 31 aliifungia timu ya taifa ya Argentina mabao 31 katika mechi 71. Mechi yake ya mwisho ilikuwa ushindi wa 2 – 1 dhidi ya Nigeria katika Kombe la Dunia Juni mwaka jana nchini Urusi. Higuain aliiambia

Continue Reading →

Dogo wa Galatasaray aikataa penalti ya haramu

Nahodha wa timu ya Galatasaray ya wachezaji wa chini ya miaka 14 amepata sifa kedekede kwa kuonyesha kitendo nadra cha uanamichezo. Alipoteza penalty makusudi kufuatia kile aliamini kuwa ni uamuzi usio halali wa refarii. Beknaz Almazbekov, mwenye umri wa miaka 13, aliingia na mpira kwenye kijisanduku na akaanguka kutokana na shinikizo kutoka kwa beki wa

Continue Reading →

Wafahamu washiriki wote 24 watakaowasha moto Afcon 2019

Mataifa 24 yatakayoshiriki katika fainali za 32 za Afrika zitakazofanyika nchini Misri kati ya tarehe 21 mwezi Juni hadi 19 Julai, zimefahamika, baada ya kumalizika kwa michuano ya kufuzu, Jumapili iliyopita. Michuano hii kwa mara ya kwanza, itashirikisha mataifa 24 kutoka 16 kama ilivyokuwa awali. Madagascar na Burundi zimeandikisha historia kwa mara ya kwanza, baada

Continue Reading →