Messi afunga hat trick, Barca mkono mmoja kwenye taji

Barcelona waliingia dimbani Jumapili katika mechi yao dhidi ya Real Betis wakifahamu fika kuwa nambari mbili Atletico Madrid walikuwa wameteleza dhidi ya Athletic Bilbao Jumamosi kwa kuzabwa 2 – 0. Na wakauchukulia mtanange wa Betis kama wa jukwaa la Ulaya. Wakaimarisha safu ya ulinzi na kuwashambulia Betis. Mwishowe, wakapata ushindi mnono wa 4 – 1.

Continue Reading →

Bale na Isco wamkaribisha tena Zidane kwa ushindi

Gareth Bale na Isco walifunga mabao dhidi ya Celta Vigo na kumkaribisha kocha Zinedine Zidane kwa ushindi katika klabu ya Real Madrid. Isco, ambaye hajaonekana kupewa nafasi nyingi sana chini ya kocha wa awali Santiago Solari, alifanya mambo kuwa 1-0 alipounganisha krosi ya chini ya mshambuliaji Karim Benzema. Dakika 13 kabla ya mtanange kukamilika, mshambuliaji

Continue Reading →