Kombora la Kompany laiweka Man City mkono mmoja kwenye taji

Manchester City watahifadhi taji lao la Ligi ya Premier kama watashinda mechi yao ya mwisho msimu huu baada ya kombora kali la nahodha Vincent Kompany kuizamisha Leicester iliyocheza kwa kujituma. Huku zikiwa zimesalia dakika 20 mechi kumalizika, na matokeo yakiwa sifuri kwa sifuri na hofu ikiwa imetanda dimbani Etihad, mabngwa hao wa tetezi walihitaji muujiza

Continue Reading →

Chelsea yafuzu Champions League baada ya kuitandika Watford

Chelsea wamejikatia tiketi ya kucheza kandanda la Champions League msimu ujao baada ya kupata ushindi dhidi ya Watford dimbani Stamford Bridge. Ushindi ukichanganya na sare ya Arsenal dhidi ya Brighton, una maana kuwa The Blues wamejihakikishia nafasi ya kumaliza katika nne bora kwenye Ligi ya Premier. Baada ya kipindi kigumu cha kwanza, Chelsea walifunga mabao

Continue Reading →

Man Utd yashindwa kumaliza katika nne bora

Manchester United watalazimika kucheza kandanda la Europa League msimu ujao baada ya Huddersfield kudidimiza matumaini yao ya kumaliza Ligi ya Premier katika nafasi ya nne bora. Matokeo ya mechi ya Jumapili ni muendelezo wa matokeo mabaya kwa United baada ya kushindwa katika mechi tano mfululizo. Mara ya mwisho United walijipata katika hali hiyo ilikuwa kati

Continue Reading →

Origi ahakikisha mbio za ubingwa zitaamuliwa siku ya mwisho

Bao la ushindi katika dakika za mwisho lake Divock Origi liliwarejesha Liverpool kileleni mwa ligi na kurejesha mbinyo kwa Manchester City na kuhakikisha kuwa mbio za ubingwa zinaenda hadi mechi ya mwisho. Origin aliyeingia kuchukua nafasi ya Mohamed Salah baada ya kutolewa uwanjani kwenye machela kutokana na jeraha la kichwa alilopata alipogongana na kipa wa

Continue Reading →

De Gea aipa Chelsea faida ya kumaliza katika nne bora

Manchester City wanastahili tu kushinda mechi mbili na kuhifadhi taji la Ligi ya Premier baada ya bao la kipindi cha pili la Sergio Aguero liliwapa ushindi mwembamba na usioridhisha dhidi ya Burnley uwanjani Turf Moor. Bao la dakika ya 64 la Aguero – lililothibitishwa na mfumo wa VAR lilidhihirisha namna City walipambana na kutolewa jasho

Continue Reading →

Man City yawika mbele ya Man United na kupanda kileleni

Manchester City ilirusha kombora kali katika harakati zao za kutwaa ubingwa wa pili mfululizo wa ligi ya Premier baada ya kupata ushindi rahisi wa derby dhidi ya watani wao wa mjini Manchester United uwanjani Old Trafford. Vijana hao wa kocha Pep Guardiola walifahamu fika kwamba walistahili ushindi kwa vyovyote vile la sivyo Liverpool wangesalia kileleni

Continue Reading →

Liverpool wawabwaga Cardiff na kurejea kileleni mwa ligi

Merseyside ilisherehekea kwa shangwe Jumapili ya Pasaka wakati Liverpool waliwapiga Cardiff City 2 – 0 na kurejea kileleni mwa ligi, wakati Manchester United wakirambishwa 4 – 0 ugenini dhidi ya Everton Arsenal waliduwazwa 3-2 na Crystal Palace nyumbani Emirates na wakashindwa kusonga hadi nafasi ya tatu mbele ya Tottenham Hotspur, baada ya kujikuta wakiwa nyuma

Continue Reading →